Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es salaam kuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya miaka 100 ya Ubuddha Barani Afrika
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kiongozi wa Buddhism Barani Afrika, Dkt. Ilukpitiye Pannasekera Thero wakati alipowasili kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es salaam kuwa Mgeni Rasmi katika maadhimisho ya miaka 100 ya Ubuddha Barani Afrika
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasha mshumaa katika maadhimisho ya miaka 100 ya Buddhism kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es salaam
Watoto wa kikundi cha Indian Dance Troup wakitumbuiza katika maadhimisho ya miaka 100 ya Ubuddha kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es salaam, Desemba 5, 2021. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa

Kiongozi wa Ubuddha Barani Afrika, Akt. Ilukpiyiye Pannasekera Thero akizungumza katika maadhimisho ya miaka 100 ya Ubuddha kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Dar es salaam, Desemba 5, 2021. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikuwa mgeni rasmi.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment