Habari za Punde

Hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi

Jengo la madarasa manane la Skuli ya Sekondari ya Nungwi lililofunguliwa na Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume akikunjuwa Kitambaa kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume (katikati)akipatiwa maelezo na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Simai Mohamed Said katika hafla ya  Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Ayoub Mohamed Mahmoud.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Simai Mohamed Said akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni Rasmi katika hafla ya  Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
 Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume akizungumza na Wananchi mbalimbali katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 Rais Mstaafu wa Zanzibar Amani Abeid Karume akisisitiza jambo wakati akizungumza na Wananchi mbalimbali katika hafla ya Ufunguzi wa Jengo la Madarasa Manane Nungwi Mkoa wa Kaskazini Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.