Habari za Punde

Mafunzo kwa wavuvi na wakulima wa mwani kutoka shehia 20 za Wilaya ya Wete

MSAIDIZI katibu wa Mufti Pemba Shekhe Said Ahmad Mohamed, akiwasilisha mada juu ya umuhimu wa amani kwa mtazamo wa Uislamu, kwa wavuvi na wakulima wa mwani kutoka shehia 20 za Wilaya ya Wete, mafunzo hayo yametolewa na Kituo cha Majadiliano kwa vijana Zanzibar (CYD), kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Wete, chini ya mradi wa Amani Mikani kwa ufadhili wa Ubalozi wa Canada Tanzania kutipia Mfuko wa Maendeleo ya Kijamii (CFLI).(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MRATIB wa Mradi wa Amani Mipakani kutoka CYD Ali Shaaban, akielezea malengo ya mradi huo wakati wa mafunzo kwa wavuvi na wakulima wa mwani kutoka shehia 20 za Wilaya ya Wete, mafunzo hayo yametolewa na CYD, kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Wete, chini ya mradi wa Amani Mikani kwa ufadhili wa Ubalozi wa Canada Tanzania kutipia Mfuko wa Maendeleo ya Kijamii (CFLI).(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MKURUGENZI Mtendaji wa Kituo cha Majadiliano kwa vijana Zanzibar CYD Hashim Pondeza, akizungumza wakati wa mafunzo kwa Wavuvi na wakulima wa mwani kutoka shehia 20 za Wilaya ya Wete, mafunzo hayo yametolewa na CYD, kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Wete, chini ya mradi wa Amani Mikani kwa ufadhili wa Ubalozi wa Canada Tanzania kutipia Mfuko wa Maendeleo ya Kijamii (CFLI).(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MKUU wa Wilaya ya Wete Hamad Omar Bakar, akifungua mafunzo ya siku tatu kwa wavuvi na wakulima wa mwani kutoka shehia 20 za Wilaya ya Wete, mafunzo hayo yametolewa na CYD, kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Wete, chini ya mradi wa Amani Mikani kwa ufadhili wa Ubalozi wa Canada Tanzania kutipia Mfuko wa Maendeleo ya Kijamii (CFLI).(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MKUU wa Wilaya ya Wete Hamad Omar Bakar, akifungua mafunzo ya siku tatu kwa wavuvi na wakulima wa mwani kutoka shehia 20 za Wilaya ya Wete, mafunzo hayo yametolewa na CYD, kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Wete, chini ya mradi wa Amani Mikani kwa ufadhili wa Ubalozi wa Canada Tanzania kutipia Mfuko wa Maendeleo ya Kijamii (CFLI).(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

MWENYEKITI wa Kamati za wavuvi Wilaya ya Wete Mohamed Kombo (Mwinyi Mpeku), akitoa neno la shukurani mara baada ya kumalizika kwa mafunzo ya siku tatu yametolewa na Kituo cha Majadiliano kwa vijana Zanzibar (CYD), kwa kushirikiana na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Wete, chini ya mradi wa Amani Mikani kwa ufadhili wa Ubalozi wa Canada Tanzania kutipia Mfuko wa Maendeleo ya Kijamii (CFLI).(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.