Habari za Punde

Makamu wa Rais Dr Mpango mgeni rasmi katika ufunguzi wa Kiwanda cha Nguo na Kiwanda cha Viatu

Moja kati ya Majengo ya  Viwanda vya  Idara maalum za SMZ(Ushoni na Kiwanda cha Viatu) Vilivyazinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Philip Izdori Mpango ndani ya makao makuu ya Kikosi cha Valantia (KVZ)Mtoni Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Philip Izdori Mpango akiangalia Ushoni wa Nguo wakati alipotembelea  Kiwanda Cha Nguo katika hafla ya Uzinduzi wa Viwanda vya Idara Maalum za SMZ(Kiwanda cha Nguo na Kiwanda cha Viatu) ndani ya makao makuu ya Kikosi cha Valantia (KVZ)Mtoni Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Philip Izdori Mpango akikata Utepe kuashiria Uzinduzi wa Viwanda vya Idara Maalum za SMZ(Kiwanda cha Nguo na Kiwanda cha Viatu) ndani ya makao makuu ya Kikosi cha Valantia (KVZ)Mtoni Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Philip Izdori Mpango akiangalia Viatu wakati alipotembelea Kiwanda cha Viatu katika hafla ya Uzinduzi  wa Viwanda vya Idara Maalum za SMZ(Kiwanda cha Nguo na Kiwanda cha Viatu) ndani ya makao makuu ya Kikosi cha Valantia (KVZ)Mtoni Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Philip Izdori Mpango akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Viwanda vya Idara Maalum za SMZ(Kiwanda cha Nguo na Kiwanda cha Viatu) ndani ya makao makuu ya Kikosi cha Valantia (KVZ)Mtoni Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Philip Izdori Mpango akipatiwa Zawadi ya Viatu mara baada ya kumaliza  hotuba ya Uzinduzi wa Viwanda vya Idara Maalum za SMZ(Kiwanda cha Nguo na Kiwanda cha Viatu) ndani ya makao makuu ya Kikosi cha Valantia (KVZ)Mtoni Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Mke wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Jenisia Mpango akipatiwa Zawadi ya Viatu mara baada ya kumaliza  hotuba ya Uzinduzi wa Viwanda vya Idara Maalum za SMZ(Kiwanda cha Nguo na Kiwanda cha Viatu) ndani ya makao makuu ya Kikosi cha Valantia (KVZ)Mtoni Zanzibar.Ikiwa ni Shamra shamra za Miaka 58 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.