MKURUGENZI wa
Jumuiya ya KUKHAWA Pemba Hafidhi Abdi Said, akifungua warsha ya siku mbili,
kuwajengea uwezo kamati za ardhi za shehia juu ya umiliki wa Ardhi kwa
Wanawake, kupitia Mradi wa Haki ya Umiliki wa Ardhi Pemba unaotekelezwa na
KUKHAWA
MWANASHERIA kutoka
Kamisheni ya Ardhi Pemba Asha Suleiman Said, akiwasilisha mada juu usajili wa
ardhi, wakati wa wakati wa mkutano wa kuwajengea uwezo kamati za ardhi za
shehia juu ya umiliki wa Arhdi kwa wanawake, kupitia Mradi wa Haki ya Umiliki
wa Ardhi Pemba unaotekelezwa na KUKHAWA.
MMOJA ya wanawake
walioko katika kamati za ardhi za shehia Sonaya Awadhi Mussa kutoka Mfikiwa,
akiuliza swali wakati wa mkutano wa kuwajengea uwezo kamati za ardhi za shehia
juu ya umiliki wa Arhdi kwa wanawake, kupitia Mradi wa Haki ya Umiliki wa Ardhi
Pemba unaotekelezwa na KUKHAWA
BAADHI ya wanawake kutoka Shehia za Wilaya ya Mkoani na Chake Chake, wakifuatilia warsha ya kuwajengea uwezo kamati za Ardhi za Shehia juu ya umiliki wa ardhi kwa wanawake, ikiwa ni utekelezaji wa mradi huo Chini ya Jumuiya ya KUKHAWA Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment