Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi afungua Mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akisalimiana na Viongozi mara baada ya Kuwasili katika  Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo kufungua  Mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP .[Picha na Ikulu] 04/02/2022. 
Wawakilishi wa UNDP  wakiwa katika  ufunguzi wa mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP  katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo mgeni rasmi alikuwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi. [Picha na Ikulu] 04/02/2022. 
Watendaji katika  Wizara mbali mbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar  wakiwa katika  ufunguzi wa mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP  katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo mgeni rasmi alikuwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.  [Picha na Ikulu] 04/02/2022.   
Wawakilishi wa Taasisi ya Tony Blair wakiwa katika  ufunguzi wa mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP  katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo mgeni rasmi alikuwa  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi. [Picha na Ikulu] 04/02/2022. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake wakati akiyafungua mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP  katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (katikati).[Picha na Ikulu] 04/02/2022.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake wakati akiyafungua mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP  katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na Katibu wa Baraza la Mapinduzi pia Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said (katikati).[Picha na Ikulu] 04/02/2022


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake wakati akiyafungua mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP  katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo.[Picha na Ikulu] 04/02/2022. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiagana na Viongozi mara baada ya Kufungua Mafunzo ya Upangaji wa Vipaumbele na uaandaaji wa Mipango ya maendeleo yaliyoandaliwa na Taasisi ya Tony Blair pamoja na Shirika la Maendeleo la UNDP  katika Ukumbi wa Chuo cha Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) Kampasi ya Maruhubi leo.[Picha na Ikulu] 04/02/2022. 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.