Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan atembelea Kituo cha Uwezeshaji wa Wafanyabiashara na Wabunifu cha Station F Start Up facility, Paris nchini Ufaransa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi wa Kituo cha kuwezesha Wajasiriamali cha Station F Start Up Bi. Roxanne Varza pamoja na Meneja Mawasiliano wa Kituo hicho Bw. Grégoire Martinez kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa Kituoni hapo ikiwemo kutoa fursa kwa wajasiriamali wadogo kupata elimu ya ubunifu wa kibiashara, fursa za mitaji yenye masharti rafiki pamoja na masoko wakati alipotembelea Kituo hicho leo tarehe 12 Februari, 2022, Paris nchini Ufaransa)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi wa Kituo cha Station F Start Up facility Bi. Roxanne Varza kuhusu kazi mbalimbali zinazofanywa Kituoni hapo mara baada ya kukitembelea leo tarehe 12 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya  Wabunifu na wafanyabiashara katika Kituo hicho cha Station F Start Up facility mara baada ya kukitembelea Kituo hicho Paris nchini Ufaransa leo tarehe 12 Februari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na baadhi ya  Wabunifu na wafanyabiashara katika Kituo hicho cha Station F Start Up facility mara baada ya kukitembelea Kituo hicho Paris nchini Ufaransa leo tarehe 12 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua shughuli mbalimbali zinazofanywa na kituo cha Station F Start Up facility mara baada ya kukitembelea Kituo hicho Paris nchini Ufaransa leo tarehe 12 Februari, 2022.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.