MJUMBE wa Jumuiya ya
Kuwezesha Vipaji vya Vijana Pemba (YETA) Haroub Ali Nassor, akitola maelezo ya
Jumuiya yao kwa wanafunzi wa skuli ya Sekondari Konde, wakati wa utoaji wa
elimu juu ya kuepuka migogoro na Udhalilishaji kipindi cha uchumaji wa zao la
Karafuu
MWEZESHAJI wa mafunzo
juu ya kuepuka migogoro na udhalilishaji wa kipindi cha uchumaji wa zao la
karafuu kupitia mradi wakujenga uwelewa kwa vijana unaotekelezwa na Jumuiya ya
YETA Pemba Dk.Ali Yussuf Ali, akiwasilisha mada kwa wanafunzi wa skuli ya Konde
Sekondari

WANAFUNZI wa Skuli ya Sekondari Konde Wilaya ya Micheweni, wakifuatilia kwa makini uwasilishaji wa mada mbali mbali juu kuepuka migogoro na udhalilishaji kipindi cha uchumaji wa zao la karafuu.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)
No comments:
Post a Comment