Habari za Punde

Kikao cha kujadili masuala ya ardhi na utatuzi wa migogoro chafanyika Wete

WASHIRIKI wa Kikao cha kujadili masuala ya ardhi na utatuzi wa migogoro, kilicho washirikisha masheha, wananchi na watendaji wa serikali na kufanyika jamhuri holi Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)

NAIBU Mrajis wa Ardhi Pemba Asha Suleiman Said, akiwasilisha mada sheria na taratibu za ardhi katika utatuzi wa migogoro, kwa masheha wananchi na watendaji wa serikali mkutano uliofanyika Jamhuri Holi Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)


MKUU wa Wilaya ya Wete Hamadi Omar Bakar, akizungumza na msheha, wananchi na watendaji wa serikali Wete, katika kikao cha kujadilia kuhusu Masuala ya Ardhi na utatuzi wa migogoro, kikao kilichofanyika Jamhuri holi Wete.(PICHA NA ABDI SULEIMAN)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.