MSAIDIZI katibu wa Mufti Pemba Shekha Said Ahmad
Mohamed, akizungumza na uongozi wa mskiti Munauwar Mfikiwa, wakati wahafla ya
kukabidhi misahafu 200 ikiwa ni utekelezaji wa ahadi iliyotolewa na Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Katiba sheria Utumishi wa Umma na Utawala bora Zanzibar
Haroun Ali Suleiman, mwaka jana wakati wa ufunguzi wa mskiti huo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN.)
MSAIDIZI Katibu wa Mufti Pemba Sheikh Said Ahmad
Mohamed (kulia) akimkabidhi Kaimu Imamu wa masjidi Munawara Mfikiwa Khamis
Uledi(kushoto) misahafu 200, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi iliyotolewa na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba sheria Utumishi wa Umma na Utawala bora
Zanzibar Haroun Ali Suleiman, mwaka jana wakati wa ufunguzi wa mskiti huo.(PICHA NA ABDI SULEIMAN.)
KAIMU imamu wa Masjid Munawwara Mfikiwa Khamis
Uledi, akizungumza mara baada ya kupokea misahafu 200 ikiwa ni utekelezaji wa
ahadi iliyotolewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba sheria Utumishi wa
Umma na Utawala bora Zanzibar Haroun Ali Suleiman, mwaka jana wakati wa
ufunguzi wa mskiti huo.(PICHA NA ABDI
SULEIMAN.)
MUONEKANO wa Masjid Munawwara Mfikiwa uliofunguliwa
mwishoni mwa mwaka jana na Waziri wan chi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi
wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Haroun Ali Suleiman, akimuwakilisha Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazala Mapinduzi Zanzibar Dk.Hussein Ali Mwinyi.(PICHA NA ABDI SULEIMAN.)
No comments:
Post a Comment