Habari za Punde

Mama Maryam Mwinyi akabidhiwa msaada wa vyakula na vifaa kutoka Taasisi ya Ahmad Mohamed Al –Falasi

MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF)Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa msaada wa Dawa na Sheikh Ahmad Mohamed Al –Falasi Kiongozi wa Taasisi ya Ahmad Mohamed Al –Falasi,ikiwa ni miongoni mwa vifaa na vyakula vilivyotolewa msaada na Taasisi hiyo  kwa ajili ya Wananchi wenye mahitaji maalum,katika kipindi hichi cha kuelekea mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za (ZMBF) Migombani nje kidogo ya mji wa Zanzibar.
MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation(ZMBF) Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa msaada wa Vyakula na Sheikh Ahmad Mohamed Al –Falasi Kiongozi wa Taasisi ya Ahmad Mohamed Al –Falasi,ikiwa ni miongoni mwa vifaa na vyakula vilivyotolewa msaada na Taasisi hiyo  kwa ajili ya Wananchi wenye mahitaji maalum,katika kipindi hichi cha kuelekea mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za (ZMBF) Migombani nje kidogo ya mji wa Zanzibar.
 MKE wa Rais wa Zanzibar ambae pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation(ZMBF) Mama Mariam Mwinyi akizungumza na Kiongozi wa Taasisi ya Ahmad Mohamed Al Falasi Sheikh.Ahmad Mohamed Al Falasi, baada ya kumalizika kwa hafla ya kukabidhi msaada wa Vyakula na Vifaa kwa ajili ya Wananchi wenye mahitaji maalum vilivyotolewa msaada na Taasisi hiyo katika kipindi hichi cha kuelekea mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi za (ZMBF) Migombani nje kidogo ya mji wa Zanzibar, .(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.