Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azungumza kwa njia ya Mtandao na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani USAID Bi. Samantha Power

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwa njia ya Mtandao na Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Marekani USAID Bi. Samantha Power leo tarehe 03 Machi, 2022 Ikulu Jijini Dar es Salaam. Bi. Samantha amesema Shirika hilo litaipatia Tanzania msaada wa Kiasi cha Dola za Kimarekani Milioni 25.

PICHA NA IKULU


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.