Habari za Punde

Benki ya NMB Yakabidhiwa Cheti Maadhimisho ya Wiki ya Ubunifu Kitaifa Jijini Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt.Philip Isdor Mpango  akikabidhi Cheti kwa Mkuu wa Idara ya Ubunifu wa Benki ya NMB Tanzania  Josina Njambi na Mkuu wa Idara za Serikali na Ofisi ndogo za Makao Makuu Dodoma wa NMB, Vicky Bishubo kwa kutambua mchango wa benki hiyo kwa kuendeleza shughuli za ubunifu, wakati wa kilele cha maadhimisho ya wiki ya Ubunifu Kitaifa, iliyofanyika Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma.Kushoto ni Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na kulia ni Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia-Prof. Adolf Mkenda.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.