Habari za Punde

Katibu Mkuu CCM Ndg.Chongolo Akutana na Kuzungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD FDD Jijini Dar es Salaam.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Reverien Ndikuriyo (kushoto)ofisini kwake Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiwa kwwenye picha ya pamojana Katibu Mkuu wa Chama cha CNDD-FDD cha Burundi Mhe. Reverien Ndikuriyo (kushoto)mara baada ya mazungumzo ofisini kwake Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba jijini Dar es Salaam leo tarehe 17, Mei 2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.