Na.Mwandishi Wetu.
Naitwa Kassimu mkazi wa Tanga, ni dereva Pikipiki maarufu kama Bodaboda, nimefanya kazi hii kwa miaka sita sasa lakini changamoto nilizokutana nazo ni kubwa mno kuliko mwenzangu.
Wakati naanza kazi hii sikuwa na Bodaboda yangu bali
nilikuwa nafanya kazi kwa Bosi mwenye Pikipiki na jioni nampelekea fedha zake
kwa jinsi tulivyokubaliana na kinachobaki ndicho kinakuwa changu.
Nilipata mteja mmoja wakati wa jioni akaniomba
nimpelekea safari ya mbali kidogo, kumbe alikuwa ni mwizi, bila kujua tulianza
safari, baada mwendo wa kama saa moja na nusu hivi giza likawa limeingia na
sehemu tuliyokuwa tunaelekea kulikuwa hakuna makazi ya watu.
Tulifika sehemu yule mteja akaniomba nisimame aweze
kuongea na simu, ghafla walitokea watu kadhaa na kuanza kunishambulia hadi
kunipora Bodaboda yangu kisha wakaondoka. Nilikaa eneo lile kwa muda hadi
nilipopata msaada wa kurejeshwa nyumbani nikiwa nimechoka na sana majereha.
Nilimueleza Bosi wangu yaliyonikuta akanielewa akanipa
Bodaboda nyingine maana nilikuwa ni mfanyakazi mzuri sana, nikaanza tena kazi
ile. Hata hivyo, haikuisha miezi mitatu, niliibiwa tena Bodaboda ile nikiwa
kijiweni kwetu, nilimueleza Bosi wangu akachukia sana na kuamua kunifukuza
kazi, nilijua anaweza kunishtaki lakini hakuweza kufanya hivyo.
Katika kupambana niliweza kupata Bodaboda ya mkopo
ambayo nilitakiwa kulipia kiasi fulani hadi deni litakapomalizika ndani ya
mwaka mmoja. Nilifanya kazi na Bodaboda ile kwa kipindi cha miezi 10 nayo ikawa
imeibiwa tena nikiwa nimeipaki nyumbani kwangu ambapo niliamini usalama ni
mkubwa.
Hapo ndipo nikagundua kuna mkosi unanifuatilia katika
maisha yangu hasa upande wa kazi yangu ya Bodaboda, nilianza kutafuta usaidizi
ili kukomesha hali hiyo mara moja. Nakumbuka siku moja nikiwa naperuzi
mtandaoni ndipo nikaipata tovuti ya www.kiwangadoctors.com,
huku nikapata namba ya mtu anaitwa Dr.
Kiwanga ambayo ni +254 769404965.
Mara moja niliwasiliana naye na kumueleza shida yangu
ambayo ni mikosi ya kuibiwa Bodaboda kila mara, alinihakikishia kuwa tangu siku
hiyo nilipowasiliana naye ndipo utakuwa mwisho wa mimi kuibiwa Bodaboda.
Nilirejea tena kwenye kazi ile nikiwa na matumaini
tele, cha kushangaza niliweza kuipata ile Bodaboda yangu ya mwisho ambayo
ilikuwa nimebakiza miezi miwili iwe yangu, niliendelea na kazi na kumaliza deni
lake.
Bodaboda ile nilimkabidhi kijana mwingine afanye nayo
kazi, kisha mimi nikaenda kuchukua nyingine mbili za mkopo na kumpatia tena
kijana mwingine na hiyo moja nikawa mimi ndio nafanyia kazi. Hadi sasa nina
Bodaboda tano na hakuna hata moja imewahi kuibiwa tena tangu nilipopata tiba
kwa Dr. Kwanga.
Kumbuka Dr. Kiwanga ana uwezo kumfanya mtu kuwa na
bahati maishani mwake, kushinda katika michezo ya bahati nasibu, kukukinga na
maadui zako, kukufanya ushinde migogoro kama ya ardhi, kuwa na mvuto wa
kimapenzi, kuongeza mauzo katika biashara.
Pia anatibu magonjwa kama Kaswende, Kisonono, Kifua
Kikuu, Presha na mengine mengi, kwa mawaziliano zaidi mtumie barua pepe; kiwangadoctors@gmail.com, tembelea
tovuti yake; www.kiwangadoctors.com
au piga simu +254 769404965.
Mwisho.
No comments:
Post a Comment