Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola
(Commonwealth) Mhe. Patricia Scotland mara baada ya kuwasili Ikulu Tunguu,
Zanzibar kwa ajili ya Mazungumzo tarehe 05 Mei, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa
Jumuiya ya Madola (Commonwealth) Mhe. Patricia Scotland mara baada ya kuwasili
Ikulu Tunguu, Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Azimio la Jumuiya ya Madola (Charter
of the Commonwealth) kutoka kwa Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo Mhe. Patricia
Scotland mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Tunguu, Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya
Madola Mhe. Patricia Scotland mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu
Tunguu, Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola Mhe. Patricia Scotland aliyeambatana na Ujumbe wake Ikulu Tunguu, Zanzibar tarehe 05 Mei, 2022.
No comments:
Post a Comment