RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi wa Dini
alipowasili katika viwanja vya Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Unguja Jijini
Zanzibar kuhudhuria Hauli ya Alhabib Sheikh Ahmad bin Abubakar Bin Sumeyt,miaka
100 tangu kufariki kwake
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Maulamaa(Wanazuoni) katika eneo la kaburi la Marehemu Alhabib Ahmad bin Abubabar bin Sumeyt wakimuombea dua ikiwa ni hauli ya kutimiza miaka 100 tangu kufariki kwake, hafla hiyo iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2022.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Maulamaa(Wanazuoni) katika eneo
la kaburi la Marehemu Alhabib Ahmad bin Abubabar bin Sumeyt wakimuombea dua
ikiwa ni hauli ya kutimiza miaka 100 tangu kufariki kwake, hafla hiyo
iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Unguja Jijini Zanzibar leo
15-5-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Alhabib Muhammed bin Omar,
wakielekea katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Unguja baada ya kumaliza
kumsomea dua marehemu Alhabib Ahmad bin Abubakar bin Sumeyt.kwa ajili ya kisomo
cha Hauli ya marehemu kutimia miaka 100 tangu kufa kwake
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Maulamaa (Wanazuoni) katika
hauli ya kumuombea Marehemu Alhabib Ahmad bin Abubakar bin Sumeyt kwa kutimiza
miaka 100 tangu kufariki kwake hauli hiyo iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa
Ijumaa Malindi Unguja Jijini Zanzibar na kuhudhuriwa na Wanazuoni kutoka sehemu
mbalimbali na Nje ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Maulamaa (Wanazuoni) katika
hauli ya kumuombea Marehemu Alhabib Ahmad bin Abubakar bin Sumeyt kwa kutimiza
miaka 100 tangu kufariki kwake hauli hiyo iliyofanyika katika Msikiti Mkuu wa
Ijumaa Malindi Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa
Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Kadhi Mkuu wa Zanzibar
Sheikh.Hassan Othman Ngwali na Wanazuoni
kutoka sehemu mbalimbali na Nje ya Zanzibar
No comments:
Post a Comment