Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Afungua Wiki ya Ununuzi wa Umma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Wataalam wa Ununuzi na Ugavi Godfrey Mbanyi, wakati akikagua mabanda kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma, ambayo imefanyika katika ukumbi JNICC, jijini Arusha.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Meneja Masoko wa IPP MEDIA Ernest Dilli (katikati) na Afisa Mask Msaidizi Esther Mbega, wakati akikagua mabanda kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma, ambayo imefanyika katika ukumbi JNICC, jijini Arusha
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Kaimu Katibu Mtendaji wa PPAA Agnes Sayi (katikati), wakati akikagua mabanda kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma, ambayo imefanyika katika ukumbi JNICC, jijini Arusha
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Afisa Maendeleo wa Biashara Mwandamizi Nicholaus Malakasuka (katikati) na Afisa Bima Alfred Bwoto, wakati akikagua mabanda kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma, ambayo imefanyika katika ukumbi JNICC, jijini Arusha.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma, ambayo imefanyika katika ukumbi JNICC, jijini Arusha.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Hassan Hamad Chande, wakati alipowasili kwenye Wiki ya Ununuzi wa Umma, ambayo imefanyika katika ukumbi JNICC, jijini Arusha. Mei 5, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.