Habari za Punde

Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan  akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mpinduzi ( CCM ) kilichokutana leo tarehe 21 Juni 2022 Ikulu Chamwino Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.