Habari za Punde

Kikosi cha Timu ya Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar (ZASWA) Safarini Arusha Kushiriki Bonaza

Kocha Mkuu wa timu ya Waandishi wa Habari za Michezo Zanzibar (ZASWA) Abubakar Khatib Haji (Kisandu), nikiongozana na kocha msaidizi Suleiman Mkubwa Mundhir Nyanga (kulia kwangu) na meneja wa ZASWA Ally Mohammed (kushoto kwangu), tukiwasili Dar es Salam tukitokea Zanzibar kwaajili ya safari ya Kwenda Wilayani Longido, Mkoa wa Arusha.  ZASWA Fc tumealikwa kwenye Bonanza maalumu huko na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Longido Alawi H. Fuom . 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.