Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Amekutana na Kuzungumza na Spika Mstaafu Mhe. Anna Makinda.

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Spika Mstaafu na Kamishina wa Sensa ya Watu na Makazi, Anne Makinda, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Juni 10, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.