Habari za Punde

ZAFIKO Kuwainua Wajasiriamali wa Biashara ya Dagaa Kama.

Mkurugenzi kampuni ya Uvuvi Zanzibar ZAFICO Ameir Haidar Mshenga  (kushoto), akitiliana saini na muekezaji Zainalabdeen Mohammed Hairu wa kampuni ya Hairu Zafico Naval Engineering ltd mkataba wa Ujenzi wa viwanda vitakavowasaidia wajasiariamali wanaoanika  dagaa Eneo la Kama huko Ofisi za ZAFICO Malindi Zanzibar.
Mkurugenzi kampuni ya Uvuvi Zanzibar ZAFICO Ameir Haidar Mshenga  (kushoto) akikabidhiana mkataba wa Ujenzi wa viwanda vitakavowasaidia wajasiariamali wanaoanika  dagaa Eneo la Kama na muekezaji Zainalabdeen Mohammed Hairu wa kampuni ya Hairu Zafico Naval Engineering ltd mara baada ya kusaini mkataba huo huko Ofisi za ZAFICO Malindi Zanzibar.
Mkurugenzi kampuni ya Uvuvi Zanzibar ZAFICO Ameir Haidar Mshenga  akizungumza kuhusu mradi wa Ujenzi wa viwanda vitakavowasaidia wajasiariamali wanaoanika  dagaa Eneo la Kama wakati wa utiaji saini mkataba wa Ujenzi wa Viwanda hivyo ,kati ya ZAFICO na kampuni ya Hairu Zafico Naval Engineering ltd, hafla iliyofanyika Ofisi za ZAFICO Malindi Zanzibar. 

 PICHA NA FAUZIA MUSSA – MAELEZO ZANZIBAR
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.