Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan aswali Swala ya Eid al- Adha katika Msikiti wa Mikocheni B Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoka kuswali Swala ya Eid  al- Adha kwenye Msikiti Maarufu kwa jina la ‘Msikiti wa Mwinyi’ Mikocheni B Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Julai, 2022.

PICHA NA IKULU

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.