Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasili kwa viwanja vya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Jamhuri ya Burundi kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan
Mke wa Rais wa Burundi akiwasili katika viwanja vya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Uhuru wa Jamhuri ya Burundi.

No comments:
Post a Comment