Habari za Punde

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale akutana na kuzungumza na wanahabari

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Simai Mohamed Said akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara alioifanya Mji mkongwe na kutoa Taarifa ya Uekezaji katika Mji huo hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Zanzibar.
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Simai Mohamed Said  akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara alioifanya Mji mkongwe na kutoa Taarifa ya Uekezaji katika Mji huo hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Star TV Abdalla Pandu akiuliza maswali kwa Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Simai Mohamed Said  (hayupo pichani)wakati akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Ziara alioifanya Mji mkongwe na kutoa Taarifa ya Uekezaji katika Mji huo hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Zanzibar.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.