Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aufungua Mkutano wa 44 wa Umoja wa Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  akifuatana na Kamishna wa Bima Tanzania Dkt. Baghayo Abdalla Saqware (kulia) mara alipowasili Hoteli ya Madinat Al Bahr leo kufungua Mkutano wa 44 wa Umoja wa  Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika.[Picha na Ikulu] 29/08/2022.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) Mwenyekiti wa Bodi ya Umoja wa Makampuni ya Bima Mashariki  na Kusini mwa Afrika Nd.Patt Karuihe -Matin (OESAI),(kushoto) na Kamishna wa Bima Tanzania Dkt.Baghayo Abdalla Saqware,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Fedha na Mipango Zanzibar Dkt.Saada Mkuya Salum (wa tatu kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said,na Bi. Rose Wanda Katibu Mkuu Umoja wa Makampuni ya Bima Mashariki na Kusini mwa Afrika (OESAI) wakisimama wimbo wa Taifa ukipigwa katika ufunguzi wa  Mkutano wa 44 wa Umoja wa  Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika,katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel leo.[Picha na Ikulu] 29/08/2022.
Baadhi ya washiriki wa  Mkutano wa 44 wa Umoja wa  Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika,wakifuatilia kwa makini Hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel.[Picha na Ikulu] 29/08/2022.
Baadhi ya washiriki wa  Mkutano wa 44 wa Umoja wa  Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika,wakifuatilia kwa makini Hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa mkutano huo uliofanyika leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel.[Picha na Ikulu] 29/08/2022.

Miongoni mwa Washiriki wa Mkutano wa 44 wa Umoja wa  Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika,kutoka Nchi 30 wakifuatilia kwa makini Hotuba iliyotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipoufungua leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel,nje ya Jiji la Zanzibar.[Picha na Ikulu] 29/08/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na washiriki mbali mbali  wa Mkutano wa 44 wa Umoja wa  Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika,leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel,kabla kuufungua rasmi (kutoka kulia) Kamishna wa Bima Tanzania Dkt.Baghayo Abdalla Saqware,Mwenyekiti wa Bodi ya Umoja wa Makampuni ya Bima Mashariki  na Kusini mwa Afrika Nd.Patt Karuihe -Matin (OESAI), na Naibu Kamishana wa Bima Tanzania Nd,Khadija Issa Said, [Picha na Ikulu] 29/08/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akizungumza na washiriki mbali mbali  na kuufungua Mkutano wa 44 wa Umoja wa  Mashirika ya Bima, Ukanda wa Mashariki na Kusini Mwa Afrika, uliofanyika leo katika ukumbi wa Madinat Al Bahr Hotel. [Picha na Ikulu] 29/08/2022.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.