Habari za Punde

Rais Mhe Samia akutana na na kikosi kazi Cha mageuzi ya Elimu Zanzibar

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa  Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Leo tarehe 22/8/2022 akiwa katik picha ya pamoja na kikosi kazi Cha mageuzi ya Elimu Zanzibar ambacho kilienda ofisi kwake  ikulu ndogo Tunguu Mkoa wa Kusini Unguja, Kikiongozwa na  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe Lela Muhammed Mussa.
Mmoja kati ya viongozi wa kikosi kazi Cha mageuzi ya Elimu Zanzibar akitoa muhtasari wa kazi za kikosi hicho mbele ya Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa  Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan Leo tarehe 22/8/2022 huko Ikulu ndogo Tunguu.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.