Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi leo

Waziri wa Maji Nishati na Madini Shaibu Hassan Kaduwara (katikati), (Kulia) ni  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Lela Mohammed Mussa na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Nassor Salum Jazera   wakiwa katika Jengo la Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa nane (8) wa Baraza hilo Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Picha na Miza Othman- Maelezo Zanzibar.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais  Fedha  na Mipango Dkt.Saada Mkuya Salum akiingia katika jengo la Baraza la Wawakilishi kwaajili ya kuhudhuria Mkutano wa nane (8) kikao cha (10) wa baraza hilo Chukwani nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Picha na Miza Othman- Maelezo Zanzibar
Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Mgeni Hassan Juma akiongozwa  na Mpambe wa baraza hilo kwaaji ya kufunguwa mkutano wa baraza la (8) kikao cha kumi (10) Chukwa nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.
Wachezaji wa timu ya Kmkm wakitambulisha mara baada ya kuwasili barazani hapo katika mkutano wa (8) kikao cha kumi(10) Chukwa nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Picha na Miza Othman- Maelezo Zanzibar
Viongozi wa Timu ya Kmkm wakiwa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi mara walipowasili barazami hapo  katika mkutano wa (8) kikao cha kumi(10) Chukwa nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. Picha na Miza Othman- Maelezo Zanzibar
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.