6/recent/ticker-posts

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Kinana asaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Oysterbay Jijini Dar es Salaam.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Kinana  amesaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Septemba 12, 2022.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Kinana  akizungumza na Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania baada ya kumaliza kusaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Septemba 12, 2022.


 

Post a Comment

0 Comments