Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akifuatana Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Adalla Juma Sadala (kushoto)alipowasili Chamwino kushiriki Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo (katikati) Naibu Katibu Mkuu CCM Bara.[Picha na Ikulu] 28/10/2022.
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM wakiteta katika ukumbi wa Mikutano wa Chamwino Mkoani Dodoma kabla ya kuanza Kikao hicho leo (kulia) Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Tulia Acson na Spika wa Baraza la Wawakilishi la Zanzibae Mhe.Zubeir Ali Maulid(kushoto).[Picha na Ikulu] 28/10/2022.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamo wa Mwenyekiti wa CCM Bara Mhe.Abrahaman Kinana(katikati) kabla ya kuanza Kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo katika Ukumbi wa Chamwino Mkoani Dodoma(kulia) Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dk.Philip Mpango.[Picha na Ikulu] 28/10/2022.
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa pia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Mama Samia Suluhu Hassan (katikati) pamoja na Wajumbe wa Kikao cha Kamati Kuu ya CCM wakimsikiliza Katibu Mkuu wa Chama hicho Nd.Daniel Chongolo akitoa taarifa kwa Mwenyekiti kabla kuanza kwa kikao cha Kamati Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika leo Chamwino Mkoani Dodoma.[Picha na Ikulu] 28/10/2022.
MWENGE WA UHURU WAZINDUA KITUO CHA POLISI NYAKITONTO KWA AJILI YA KUONGEZA
USALAMA
-
Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa, Ismail Alli Issu, amesema
uwepo wa miradi mingi yenye thamani kubwa katika Halmashauri ya Wilaya ya
Kasulu ni...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment