Habari za Punde

Mkutano wa Sita wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Nchi mbali mbali za Afrika kufanyika Zanzibar


 Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar  Ndg Raya Issa Msellem Akitoa taarifa kwa Waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa Sita wa Chama cha Wanasheria wa Mabunge ya Nchi mbali mbali za Afrika unaotarajiwa kufanyika Zanzibar kuanzia tarehe 1 - 3 Novemba katika Hoteli ya Madinat Al Bahri, Zanzibar ambapo Baraza la Wawakilishi ndio Mwenyeji wa Mkutano huo na Mgeni Rasmi Anatarajiwa kuwa Mhe Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dr Hussein Ali Mwinyi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.