Rais wa Shirikisho la Mpira wa miguu Zanzibar (ZFF) Abdulatif Ali akimkabidhi cheti mmoja wa washiriki wa kozi ya siku kumi ya Ukocha ngazi ya awali ( Basic) iliyoandaliwa na Chama cha mpira wa Miguu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja huko uwanja wa Mao
Washiriki wa a kozi ya siku kumi ya Ukocha ngazi ya awali ( Basic) iliyoandaliwa na Chama cha mpira wa Miguu Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukamilisha mafunzoi yao
No comments:
Post a Comment