Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akikabidhi tuzo ya mshindi wa kwanza wa kampuni
yenye mchango mkubwa kwa maendeleo ya jamii
ambaye ni Grumeti Reserve wakati
wa Maadhimisho ya Siku ya Sekta Binafsi Tanzania kwa mwaka 2022 yaliofanyika
Masaki Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na washindi wa tuzo mbalimbali zilizotolewa wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sekta Binafsi Tanzania kwa mwaka 2022 yaliofanyika Masaki Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akihutubia viongozi na wadau wa Sekta Binafsi nchini wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sekta Binafsi Tanzania kwa mwaka 2022 yaliofanyika Masaki Jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisikiliza salamu mbalimbali za wadau wa Sekta
Binafsi nchini wakati alipohudhuria Maadhimisho ya Siku ya Sekta Binafsi
Tanzania kwa mwaka 2022 yaliofanyika Masaki Jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment