Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ajumuika na waumini katika Swala ya Ijumaa katika Masjid Al Swafaa Gongoni

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akisalimiana na Viongozi wa   Masjid AL Swafaa  Gongoni  Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi alipowasili na kushiriki katika   Swala ya Ijumaa na Waumini waliuofika katika Msikiti huo .[Picha na Ikulu] 30/12/2022.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati akizungumza na Waumini wa dini ya Kiislamu  mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa katika  Masjid Al Swafaa uliopo  Gongoni  Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 30/12/2022.
Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Al Swafaa uliopo  Gongoni  Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)   wakati akizungumza na kutoa salamu kwa Waumini hao  mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa leo.[Picha na Ikulu] 30/12/2022.   
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi na   Waumini wa dini ya Kiislamu  wakiitikia dua iliyosomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa pili kushoto) mara baada kujumuika katika Swala ya Ijumaa katika  Masjid Al Swafaa uliopo  Gongoni  Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi leo.[Picha na Ikulu] 30/12/2022. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Sheikh Omar Abdi Abdalla aliyetoa khutba ya Swala ya Ijumaa, Masjid Al Swafaa uliopo  Gongoni  Wilaya ya Mjini  Mkoa Mjini Magharibi mara baada ya  kujumuika na  Waumini mbali mbali katika Swala ya Ijumaa  leo (katikati) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi.[Picha na Ikulu] 30/12/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Waumini mbali mbali na Viongozi  mara baada ya  kujumuika nao  katika Swala ya Ijumaa  katika Masjid Al Swafaa uliopo  Gongoni  Wilaya ya Mjini, Mkoa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 30/12/2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.