Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Baadhi ya Wafanyabiashara na Wawekezaji wa Marekani katika ukumbi wa US Convention Centre Jijini Washington DC nchini Marekani tarehe 14 Disemba 2022, ikiwa ni sehemu ya Mkutano wa Viongozi wa Afrika na Marekani.
MANISPAA YA SINGIDA KUKUSANYA BILIONI 33.6 MWAKA WA FEDHA WA 2023/2024
-
Mstahiki Meya wa Manispaa ya Singida , Yagi Kiaratu akiongoza kikao cha
Baraza la Madiwani kilichoketi leo Februari 1, 2023 kwa ajili ya mapitio
ya u...
43 minutes ago
No comments:
Post a Comment