Habari za Punde

Mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Humoud Suleiman Kutoka Timu ya Malindi


 Mkurugenzi wa Masoko na Mawasiliano Shirika la Bima la Taifa (NIC) Karimu Meshack akimkabidhi fedha taslim Mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi kutoka Timu ya Malindi Humuoud Suleiman ameibuka mchezaji bora wa mchezo huo uliofanyika leo katika Uwanja wa Amaan Kati ya Azam na Malindi katika mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya bao 1--1. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.