Habari za Punde

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali azindua Kituo cha Mafunzo ya Vijana Bweleo

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa(kulia)akikunjuwa Kita mbaa kuashiria Uzinduzi wa Kituo cha Mafunzo ya Vijana Bweleo Mkoa wa Mjini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.Kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana utamaduni na Michezo Fatma Hamadi Rajab.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa akipatiwa Maelezo na Mkurugenzi Idara ya Maendeleo ya Vijana Shaib Ibrahim Mohamed wakati akitembelea maeneo mbalimbali katika hafla ya Uzinduzi wa Kituo cha Mafunzo ya Vijana Bweleo Mkoa wa Mjini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana utamaduni na Michezo Fatma Hamadi Rajab. akitoa hotuba ya Makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika Uzinduzi wa Kituo cha Mafunzo ya Vijana Bweleo Mkoa wa Mjini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Lela Mohamed Mussa akitoa hotuba ya Uzinduzi wa  Kituo cha Mafunzo ya Vijana Bweleo Mkoa wa Mjini Wilaya ya Magharibi B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.