Habari za Punde

Mhe Majaliwa Azungumza katika Maadhimisho ya Miaka 46 ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kigoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya  CCM Taifa akisalimiana  na viongozi wa mkoa wa Kigoma wakati alipoingia kwenye uwanja wa Umoja uliopo Kasulu kwa mgeni rasmi katika  Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM yaliyofanyika kimkoa kwenye uwanja hou, Februari 4,  2023
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM  Taifa akiwapungia wananchi wakati alipoingia kwenye uwanja wa Umoja uliopo Kasulu,  kwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka 46 ya CCM yaliyofanyika kimkoa kwenye uwanja hou, Februari 4, 2023. Kulia kwake ni Menyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma, Jamal Tamim.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kigoma, Jamal Tamim katika Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM yaliyofanyika kimkoa kwenye uwanja wa Umoja uliopo  Kasulu Mkoani Kigoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa akizungumza katika Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM  yaliyofanyika  kimkoa  kwenye uwanja wa Umoja uliopo  Kasulu Mkoani Kigoma
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu CCM Taifa akionyesha Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya uchaguzi wa 2020 wakati alipozungumza katika Maadhimisho ya Miaka 46 ya CCM yaliyofanyika kimkoa kwenye uwanja wa Umoja uliopo Kasulu Kigoma
Baadhi ya wapenzi na wanachama wa CCM wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa wakati alipozungumza katika Maadhimisho ya Mika 46 ya CCM yaliyofanyika kimkoa kwenye uwanja wa Umoja iliopo Kasulu Mkoani Kigoma, Februari 4, 2023. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.