Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Wawekezaji wa Kiwanda cha Uchakataji wa Samaki (Fungurefu)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na Wawekezaji wa Kiwanda cha Uchakataji wa Samaki (Fungurefu) wakiongozwa na Mwenyekiti  Jin-Il,Kim (wa pili kulia) leo walipofika Ikulu Jijini Zanzibar (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Mohamed (Dimwa).[Picha na Ikulu] 03/3/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Wawekezaji wa Kiwanda cha Uchakataji wa Samaki (Fungurefu) wakiongozwa na Mwenyekiti  Jin-Il,Kim (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 03/3/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Wawekezaji wa Kiwanda cha Uchakataji wa Samaki (Fungurefu) wakiongozwa na Mwenyekiti  Jin-Il,Kim (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.[Picha na Ikulu] 03/3/2023.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.