Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan azindua Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023(Africa Food Systems Forum) Ikulu Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mifumo ya Chakula Barani Afrika, 2023 (Africa Food Systems Forum2023), Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Machi, 2023.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.