Habari za Punde

Benki ya CRDB Yajumuika na Wateja Wake katika Iftari Iliyoandaliwa kwa Ajili yao Ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Jijini Zanzibar

Wafanyakazi wa Benki ya CRDB wajumuika na Wateja katika Iftari iliyoandaliwa kwa ajali yao katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Unguja Jijini Zanzibar.

Mgeni rasmin katika Iftari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa ajili ya Wateja wao Zanzibar Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi Uwekezaji na Uchumi Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga akijumuika katika Iftari hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
Mlezi wa Matawi ya Benki ya CRDB Zanzibar Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Mhe. Nassor Salim Ali  (Jazira) akijumuika na Wananchi na Wateja wa Benki ya CRDB katika hafla Iftari iliyoandaliwa na benki hiyo katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.

Afisa Mkuu wa Uendeshaji Benki ya CRDB,Bw.Bruce Mwile alkizungumza na kutawa salamu za Benki ya CRDB kwa Wateja wa Benki hiyo waliohudhuria hafla ya Iftari iliyoandaliwa kwa ajili yao katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar. 
Mgeni rasmin katika hafla ya Iftari Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Kazi Uwezeshaji na Uchumi Zanzibar Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga, akizungumza wakati wa hafla hiyo ya Iftari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa Wananchi wa Wateja wa benki hiyo, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar. 
Mkuu wa Kitengo cha CRDB Al Barakah, Rasid Rashid akizungumza na kutowa shukrani baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB kwa Wateja wao na Wananchi wa Zanzibar iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.

Baadi ya Watoto wa Vituo vya Watoto Yatima Zanzibar wakijumuika katika Iftari iliyoandaliwa na Benki ya CRDB iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.