RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimuapisha Dkt. Said Khamis Juma kuwa Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu
za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika leo
10-6-2023 katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Katibu
wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisaini hati ya Kiapo ya Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
ya Mapinduzi Zanzibar Dkt. Said Khamis Juma, baada ya kumaliza kumuapisha,
hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-6-2023 na
(kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi
Mhandisi Zena Ahmed Said

Mhandisi Zena Ahmed Said.
No comments:
Post a Comment