Naibu Waziri wa
Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma (kulia) akimkabidhi Nahodha wa timu ya Yanga Bakari Mwamnyeto (kushoto) Kombe
la Shirikisho la Azam Sports Juni 12, 2023 katika
Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga mara
baada ya kuifunga timu ya Azam kwa kwa 1-0. Wa kwanza kulia ni Katibu
Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu.
Wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia mara baada ya kukabidhiwa
Kombe la Shirikisho la Azam Sports Juni 12, 2023 katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga kwa kuifunga timu ya Azam kwa kwa 1-0.
No comments:
Post a Comment