RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akielekea katika eneo lililoandaliwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,
kwa ajili ya uwasilishwaji wa Taarifa za Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar, iliyowasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Dkt. Othman Abbas Ali,
iliyowasilishwa leo 3-6-2023 katika viwanja vya Ikulu Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakati ukipingwa wimbo wa Taifa,
kabla ya kuaza kwa hafla ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-6-2023 katika
viwanja vya Ikulu Zanzibar.
VIONGOZI
mbalimbali wa Serikali wakiwemo Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.
Othman Masoud Othman na (kushoto kwake) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.
Hemed Suleiman Abdulla na Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt.Mwinyi Talib Haji na
(kulia kwake) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena
Ahmed Said,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora
Mhe. Haroun Ali Suleiman,Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
Zanzibar.Dkt. Othman Abbas Ali, Mkaguzi
Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG)
Charles Kichele na Mkuu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa, wakiwa katika viwanja vya Ikulu
Jijini Zanzibar wakati ukipigwa wimbo wa Taifa.
MDHIBITI
na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Zanzibar Dkt. Othman Abbas Ali akielekea katika
eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuwasilisha Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-6-2023 katika
viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimsikiliza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Dkt.
Othman Abbas Ali akiwasilisha Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika leo 3-6-2023, katika viwanja vya
Ikulu Jijini Zanzibar
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar Dkt.
Othman Abbas Ali akiwasilisha Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya
Mapinduzi Zanzibar,hafla hiyo iliyofanyika leo 3-6-2023, katika viwanja vya
Ikulu Jijini Zanzibar
WAZIRI
wa Nchi Ofisi ya Rais, Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar
Mhe.Haroun Ali Suleiman akizungumza kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na
Viongozi na Wananchi, baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Ukaguzu wa Hesabu za
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, iliyowasilisha leo 3-6-2023 katika viwanja vya
Ikulu Jijini Zanzibar.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya
kuwasilishwa kwa Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar, iliyowasilishwa leo 3-6-2023 na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali Zanzibar Dkt. Othman Abbas Ali
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, wakati wa hafla ya
kuwasilishwa kwa Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar, iliyowasilishwa leo 3-6-2023 na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za
Serikali Zanzibar Dkt. Othman Abbas Ali.
VIONGOZI
wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (kutoka kushoto) Katibu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said, Makamu wa Kwanza wa
Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman,Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt.Mwinyi Talib Haji,
Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Salum Mkuya na Naibu Katibu Mkuu wa
CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akizungumza baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali
katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 3-6-2023
VIONGOZI
wa Vyama vya Siasa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza
baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar, iliyowasilisha na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
Dkt.Othman Abbas Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini
Zanzibar leo 3-6-2023
VIONGOZI wa
Serikali na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar,
baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar,iliyowasilisha na Mdhibiti na Mkuguzi Mkuu wa Serikali Dkt.Othman
Abbas Ali, hafla hiyo iliyofanyika leo 3-6-2023 katika viwanja vya Ikulu
Zanzibar.
BAADHI
Watendaji Wakuu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Wageni waalikwa
wakifuatilia taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar,
wakati ikiwasilishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Serikali Zanzibar Dkt.
Othman Abbas Ali.(hayupo pichani) hafla hiyo iliyofanyika leo 3-6-2023 katika
viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar
VIONGOZI
wa Vyama vya Siasa wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza
baada ya kuwasilishwa kwa Taarifa ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar, iliyowasilisha na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali
Dkt.Othman Abbas Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini
Zanzibar leo 3-6-2023
No comments:
Post a Comment