Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimsikiliza muuguzi wa Kituo cha Afya Lilambo Bi. Lightness Masasa kuhusu huduma zinazotolewa wakati wa kumpokea mgonjwa anayefika kituoni hapo wakati wa uzinduzi wa kituo cha Afya Lilambo kilichopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwahutubia viongozi na wananchi mbalimbali wa kata ya Lilambo mara baada ya kuzindua Kituo cha Afya Lilambo kilichopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na wananchi mbalimbali wa kata ya Lilambo wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Afya Lilambo kilichopo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma
No comments:
Post a Comment