Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu Zuhura Yunus akizungumza katika Mkutano wa Wajumbe wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai pamoja na Wahariri, Ikulu Jijini Dar es Salam tarehe 20 Julai, 2023.
Makamu
Mwenyekiti wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai
Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Mhe. Balozi Ombeni Yohana Sefue akizungumza kwenye
Mkutano wa Tume hiyo pamoja na Wahariri kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari,
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Julai, 2023.
Mjumbe
wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai Ndugu
Omar Issa akitolea
ufafanuzi masuala mbalimbali katika Mkutano wa Tume hiyo pamoja na Wahariri
kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20
Julai, 2023.
Mjumbe
wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai Dkt. Laurean Ndumbaro akizungumza katika Mkutano wa Tume
hiyo pamoja na Wahariri kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari, Ikulu Jijini Dar
es Salaam tarehe 20 Julai, 2023.
Mwanasheria
Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Mjumbe wa Tume
ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai Mhe.
Jaji Dkt. Eliezer Mbuki Feleshi
akitolea ufafanuzi masuala mbalimbali ya kisheria katika Mkutano kati ya Tume
hiyo na Wahariri kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari, Ikulu
Jijini Dar es Salaam tarehe 20 Julai, 2023.
Mkuu wa Jeshi la Polisi Mstaafu ambaye pia ni
Mjumbe wa Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki
Jinai Balozi
Mhe. Ernest Mangu akitolea ufafanuzi masuala mbalimbali yaliyoibuka kwenye
mkutano kati ya Tume hiyo na Wahariri
kutoka Vyombo mbalimbali vya Habari, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20
Julai, 2023.
.
Wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya Habari nchini
wakiwa kwenye Mkutano kati yao na Tume ya Kuangalia
Jinsi ya Kuimarisha Taasisi za Haki Jinai, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 20
Julai, 2023.
No comments:
Post a Comment