RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakiwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid
Amani Karume Zanzibar leo 2-7-2023, akitokea Nchini China baada ya kumaliza
ziara yake ya Kikazi Nchini humo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla
na Viongozi wengine wa Serikali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea Nchini China baada ya kumaliza ziara yake
ya Kikazi Nchini humo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Biashara na
Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, Balozi Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China
anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang Zhisheng, Waziri wa Nchi Ofisi ya
Makamu wa Pili wa Rai,Sera,Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe. Hamza Hassan Juma
na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana Mustafa,
alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar baada
ya kumaliza ziara yake ya Kikazi Nchini
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi
wakisalimiana na Wazee wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume Zanzibar, alipowasili Zanzibar akitokea Nchini China baada ya kumaliza ziara
yake ya Kikazi Nchini China
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akizungumza na Balozi Mdogo wa Jamhuri ya
Watu wa China anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Zhang
Zhisheng, baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani
Karume Zanzibar akitokea Nchini China
baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa
Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla
na Viongozi wengine, mazungumzo hayo
yaliyofanyika katika ukumbi wa VIP baada
ya kuwasili leo 2-7-2023
No comments:
Post a Comment