Habari za Punde

Serikali kuendelea kushirikiana na Diaspora


SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar kupitia Wizara ya Afya Zanzibar imesema itaendelea kushirikiana na wananchi wanaoishi nnje ya nchi Diaspora kwa lengo la kuimarisha huduma za Afya hapa nchini.

Hayo yameelezwa na Waziri wa Afya Zanzibar Nassor Ahmed Mazrui huko Hospitali ya Wilaya Kitogani wakati alipopokea msaada wa vifaa tiba na dawa kwa watanzania wanaoishi Marekani Diaspora wenye thamani ya Dola laki tatu ambavyo vitatumika katika Hospitali ya Wilaya Kitogani na kitengo cha Meno Mnazi mmoja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.