Habari za Punde

Rais Mhe. Samia amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika Ikulu Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Chief Moyo wakati alipofika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 28 Agosti, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Chief Moyo mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 28 Agosti, 2023.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Posta Afrika (PAPU) Dkt. Sifundo Chief Moyo (kulia) na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 28 Agosti, 2023
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.