Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga wakati alipowasilisha
taarifa ya shughuli zinazofanywa na Ofisi ya Makamu wa Rais, Ikulu mkoani
Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea
kitabu cha Mpango Kabambe wa Taifa wa Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira
(2022-2032) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga,
Ikulu mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023. Mpango Kabambe huo umeandaliwa na
Ofisi ya Makamu wa Rais.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika
picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga mara
baada ya kuwasilisha taarifa ya shughuli zinazofanywa na Ofisi hiyo, Ikulu
mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.
No comments:
Post a Comment